Picha: Jinsi Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Qwalivyopagawisha Dar

Habari kwa hisani ya Bongo5.com:

Muimbaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Wizkid akisindikizwa na wasanii wakubwa wa Tanzania, Diamond, Christian Bella pamoja na Fid Q jana katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki.

Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake
Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake

Wasanii hao waliopanda kwenye jukwaa hilo katika mida mida tofauti, kila mmoja alitaka kuonyesha uwezo zaidi ya mwenzake. Tazama picha zaidi.

Wiz akizungumza na mashabiki wake
Wizkid akizungumza na mashabiki wake

Wizkid akiimba kwa hisia
Wizkid akiimba kwa hisia

Wizkid
Wizkid

Bella akionyesha uwezo wake wa sauti
Bella akionyesha uwezo wake wa sauti

Bella

Diamond akiwa mwenye furaha
Diamond akiwa mwenye furaha

Fid Q katika ubora wake
Fid Q katika ubora wake

Steve Nyerere akimtuza Christian Bella
Steve Nyerere akimtunza Christian Bella

Wizkid
Wizkid

Diamond akifunga show baada ya kupagawisha
Diamond akifunga show baada ya kupagawisha

Diamond akiimba kwa hisia
Diamond akiimba kwa hisia

Diamond katika ubora wake ndani ya stage
Diamond katika ubora wake ndani ya stage

Diamond katika ubora wake
Diamond katika ubora wake

Diamond na Sankoro yake
Diamond na Sankoro yake

Diamond
Diamond

Full burudani
Full burudani

Full shangwe
Full shangwe

Malaika Band katika ubora wao
Malaika Band katika ubora wao

Mpaka chini
Mpaka chini

Mwimbaji wa Malaika Band

Niendelee nisiendelee

Rapper wa Christian Bella akifanya yake
Rapper wa Christian Bella akifanya yake

Steve Nyerere na Ray Kigosi wakishindana kumtuza pesa Christian Bella
Steve Nyerere na Ray Kigosi wakishindana kumtuza pesa Christian Bella

Waimbaji wa Malaika Band wakikatika mauno
Waimbaji wa Malaika Band wakikatika mauno
Fid Q aka Ngosha akonyesha uwezo wao
Fid Q aka Ngosha akionesha uwezo wake

 

Leave a comment