Hawa ndio matajiri wa Hip Hop 2015

5WealthiestHipHopArtists

Jarida na chombo kinachoheshimika duniani kote kwa takwimu za matajiri duniani,Forbes, limetoa orodha mpya ya Hip Hop Artists wenye mkwanja zaidi.Kwa mwaka wa pili mfululizo jarida hilo linamweka P.Diddy katika nafasi ya kwanza akifuatiwa na Dr.Dre ambaye kama utakumbuka mwaka jana alipata mkwanja mrefu kutoka kwenye mauzo ya Headphones za Beats ziliponunuliwa na kampuni ya Apple.

Tizama orodha kamili na video hapo chini

  1. Diddy – net worth: $725M
  2. Dr. Dre – net worth: $700M
  3. Jay Z – net worth: $550M
  4. 50 Cent – net worth: $155M
  5. Birdman – net worth: $150M

KUJUA MENGI KUHUSU ORODHA HII BONYEZA HAPA

 

Be Sociable, Share!

Leave a comment