Safari – Nikki wa Pili ft. Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee & Jux

Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa Pili leo Feb 6 ametuletea hii single yake mpya iitwayo SAFARI, humo ndani zimesikika sauti za mastaa wengine sita waliopewa collabo na staa huyo, yumo Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee na Jux.

One comment

Leave a comment